Baby de toto
Senior Member
- Jan 3, 2025
- 106
- 212
Wakuu habari zenu...Nina mdogo wangu wa kike ana miaka 24 yupo tu nyumbani ( Magomeni hapa Dar es salaam) anatafuta kazi yoyote halali ya kumuingizia kipato ili aweze kujikimu kwa mambo madogo tafadhali naombeni msaada wenu apate kazi hata kuuza duka au ukonda wa magari ya mikoani nitashukuru sana..kwa mawasiliano zaidi karibu pm