Baby de toto
Senior Member
- Jan 3, 2025
- 111
- 220
- Thread starter
- #21
Amesomea biashar na secretary lakini hakufanikiwa kumaliza masomo yakeAmesomea nini?
Amesomea biashar na secretary lakini hakufanikiwa kumaliza masomo yakeAmesomea nini?
Mkuu NAMI naitaji kaziAje awe accounter kwenye groccery. makazi mavazi na malazi juu yangu
Kuna kupalilia shamba lipo mbabala Dodoma la zabibuHapana kiongozi yeye ndio amesema kama kazi ikikosa hata ukonda atafanya
Hawezi kuja anataka kazi humu humu hana ndugu mkoa mwingine wa kufikiaKuna kupalilia shamba lipo mbabala Dodoma la zabibu
Anapewa makazi chakula na matibabu , kwa ilo asiwaze sanaHawezi kuja anataka kazi humu humu hana ndugu mkoa mwingine wa kufikia
Ukonda ndio akikosa kabisa kabisa??Hapana kiongozi yeye ndio amesema kama kazi ikikosa hata ukonda atafanya
Duh! Anaishi magomeni na ana umri miaka 24?🫣Wakuu habari zenu...Nina mdogo wangu wa kike ana miaka 24 yupo tu nyumbani ( Magomeni hapa Dar es salaam) anatafuta kazi yoyote halali ya kumuingizia kipato ili aweze kujikimu kwa mambo madogo tafadhali naombeni msaada wenu apate kazi hata kuuza duka au ukonda wa magari ya mikoani nitashukuru sana..kwa mawasiliano zaidi karibu pm
Hana connection ya kupata huo ukonda ndio maana niomeomba humu najua kuna watu wakubwa na wenye hurumaUkonda ndio akikosa kabisa kabisa??
Kazi zipo ila za kuvuja jasho