kazi halali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Uzuri ni kwamba namba wote tunaisoma. Wakosoaji wa serikali waimba mapambio na kusifu na kuabudu serikali wote tuko kapu moja.

    Uzuri ni kwamba sukari ikipanda bei haichagui wewe ni mwimbaji mzuri wa mapambio au ni mkosoaji wa serikali namba inasomeka maumivu yako palepale. Ukienda kituo cha mafuta kuweka mafuta kwenye gari. wote tunaugulia maumivu kwenye bei ya mafuta haichagui wewe unasifia serikali au ni mkosoaji wa...
  2. Kusena

    JamiiForums Tanzania Natafuta fursa ya kazi halali

    Habari zenu wapendwa, Poleni kwa mihangaiko ya kila siku. Kwa majina naitwa Kusena, mwanaume mwenye umri wa miaka 26, elimu yangu ni stashahada ya Maendeleo ya jamii. Mimi ni mzaliwa wa mkoa wa Pwani, halmashauri ya wilaya ya Chalinze, na kwa sasa ninaishi katika mkoa wa Mbeya. Ndugu zanguni...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali

    Wakuu habari zenu...Nina mdogo wangu wa kike ana miaka 24 yupo tu nyumbani ( Magomeni hapa Dar es salaam) anatafuta kazi yoyote halali ya kumuingizia kipato ili aweze kujikimu kwa mambo madogo tafadhali naombeni msaada wenu apate kazi hata kuuza duka au ukonda wa magari ya mikoani nitashukuru...
Back
Top Bottom