Natafuta Kazi Yeyote

Natafuta Kazi Yeyote

neyhansy

Member
Joined
Apr 7, 2014
Posts
10
Reaction score
3
Habari zenu wana JF.

Mimi ni kijana ambaye nimehitimu Mafunzo ya Uzalishaji wa Mifugo na Afya ya Mifugo katika ngazi ya astashahada, natafuta kazi yoyote ambayo inaendana na course yangu.

Naombeni msaada wenu wana JF.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom