Scale
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 2,122
- 2,658
Ningekuwa wewe ningejizuia na maneno haya, Walau nikamilishe mission yangu kwanza! Anyways, Inawezekana wewe ni wale watu "wasiokopesha" lakini usisahau Kauli hutambulisha Tabia!Pia huwa naamini kuwa wanafki wapo kama nzi hutazama tuu palipo na ubovu
Kila rakheli!