Natafuta kazi yeyote

Samjela Jr

Member
May 23, 2017
50
14
Wadau kama kunamtu anaweza nisaidia kazi ama kunipa connection ya kazi yeyote ile iliyo halali na yenye maslahi walau kukidhi mahitaji mihimu ya mwanadamu

Jina kamili:Halid Juma
Elimu:Kidato cha nne kwa ufaulu wa alama 29 mwaka 2015
Umri:Miaka 19

Ninauwezo mkubwa wa kufanya kazi kwa weledi kabisa
Kama kunamtu atapenda kunisaidia kazi ama hata kuniunganisha kwa mtu mwenyekazi nitashukuru sana....

Natanguliza shukrani zangu kwenu.....
IMG_20180301_180123.jpg
 
Walau wewe unajitambua unatafuta kazi yakufanya.
Mungu atakusaidia ndugu yangu ninakutumia pm number ya mtu anaweza kukusaidia
 
Una akili sio wenzio wanawaza kubet,heshima hawana....juzi mmoja kanitishia kunikata mitama,kisa nilikua namwabia apunguze matusi,nikaishia ku cool down!
 
Una akili sio wenzio wanawaza kubet,heshima hawana....juzi mmoja kanitishia kunikata mitama,kisa nilikua namwabia apunguze matusi,nikaishia ku cool down!
Ndio ivo ndugu yangu pombe na mihadarati inatuchanganya sana vijana wa siku hizi
Hatuwazi maendeleo wala hatuwazi kama kuna Mwenyezi Mungu na ipo siku tutakufa
Tunaamini mno kwenye michezo ya kubahatisha ili tujikwamue katika janga la umasikini bila ya kujua kuwa ndio tunaongeza umasikini yote kwa yote mwenyezi atunusuru Inshaallah
 
Ila kuna kitu umekosea kidogo,uvasji wako utaleta mashaka kidogo,muonekano nao unasaidia pia kumwaminisha mtu jambo flani ingawa matapeli nao ni watanashati
 
Back
Top Bottom