Natafuta kazi yeyote

Hapana siweziii
Najielewa kuliko mnavyofikiria najua nnadhamana kubwa mno ya kutimiza ndoto zangu hivyo siwezi leta mzaha katika kazi
Nipe kazi na hutajutia nakuahidi
JE kipaumbele chako kinachothitisha kuwa unafaa kwa kazi fulani,kinachoweza kuleta tija katika kampuni?
 
Hahahaa kumbe we jamaa huwa unanichunguza leo nimejua, dawa yako iko jikoni we ngoja tu.
Sio nakuchunguza,kwenye ile thread ya mark x na crown athlete ipi nzuri ndio niliona comment yako kua unauza Gari sasa sijajua ni yako au wewe dalal tu
 
JE kipaumbele chako kinachothitisha kuwa unafaa kwa kazi fulani,kinachoweza kuleta tija katika kampuni?
Ninachoamini mimi ni uadilifu na kuleta mawazo mapya katika kampuni ili mradi kampuni iweze kusonga mbele zaid maana bila ya mimi(mfanya kazi?) Kuwa makini na kazi yangu naamini kampuni itashindwa kuendelea na kifuatacho ni kibarua kuota nyasi ama hatua mbaya zaidi ya kampuni kufa
 
Una ulemavu wa mkono,maana naona vidole vyako vya mkono wa kulia sivielewi elewi!!??
Au wewe ni muumini wa Juma Nyoso?!?
 
*NAFASI ZA KAZI*
( Kampuni ya TIGO kanda ya Temeke )

Wapendwa humu ndani. Wanahitajika vijana zaidi ya 40 kwa ajili ya kufanya kazi kwenye kampuni ya Tigo kanda ya Temeke.

Yaani Team mpya ya vijana wa mauzo inatakiwa kuundwa. Team hii itaongozwa na Team Leader anaitwa *Jumanne Salum*

KAZI YA TEAM

1: Kuuza simu aina zote za tigo
2:Kuuza modem na vocha
3: Kusajili line za wateja wapya wa Tigo

------------------------------
*VIGEZO*
1. *Umri miaka 18 na kuendelea,*
2. *Ujue kusoma na kuandika,*
3. *Uwe na simu smartphone ndio kitendea kazi,*
4. *Utapewa maelekezo ya kufanya kaz ya kampuni ya tigo,*
-----------------------
*UTENDAJI KAZI*

1. *Unafika ofisini Tigo tawi la Temeke asubuhi unakunywa chai,*
2. *Kampuni ya tigo kanda ya temeke inayo gari mabasi matatu. Baada ya chai utaingia ktk gari na mtapelekwa kufanya mauzo na utarudishwa na gari hiyo pia*

Mawasiliano na Team Leader *Jumanne Salum* mpigie namba yake ni *0715601111*

*Kwa waishio Dar es salaam TU*
 
Kijana Samjela Jr , changamkia hii nafasi. Pia toa shukurani kwa huyu aliyekujali na kukupa huu mwanga.
 
Zamani nilikuwa nafanya mazoezi ya kutazama watu na kuanza kuwachora kwenye akili yangu, yaani nilikuona hata nakutana na wewe naanza kusema huyu mtu anaweza kuwa na tabia hii na hii na kweli ikawa hivyo nilivyokuwa nadhani.

Huwa nafanya huu uchunguzi ninapokuwa Kwenye maeneo yenye watu wengi, Ninatazama hiyo picha kinachokuja akilini sikielewi sanaa.

Kila la Kheri Mkubwa wangu kweny utafutaji.
 
Usimjaji mtu kwa vile unamuona muonekano wake tuu

Unaweza ukamuona mtu kavaa mlegezo ukadhani ni muhuni kumbe amevaa vile kwa lengo gulani kwa muda fulani

Unaweza muona Sheikh kanisani afu ukaona kama vile ni mnafiki kumbe uwezi jua ni kwanini yuko pale

But yote kwa yote asante kwa maono yako na ushaur wako
 
Back
Top Bottom