Natafuta kazi yeyote ya SAIDIA FUNDI au anipe connection yeyote ya SAIDIA Fundi

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Kwa wale wana jf wote humu jukwaani kama kuna mtu yeyote anahitaji mtu wa kumsaidia kazi zake zozote zile za SAIDIA FUNDI tuchekiane tuu

Mimi nipo dar kwa sasa naishi chanika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom