Natafuta kazi yeyote ya IT

Jul 25, 2012
29
2
Kwenu wanajamvi,
Natafuta kazi yeyote inayohusiana na IT iwe kudesign au kufundisha yote sawa, nipo dar, naombeni msaada wenu. Elimu yangu ni ngazi ya Diploma.

Nawasilisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom