Natafuta kazi ya uuguzi na ukunga

Mimi ni kijana mwenye miaka 22natafuta kazi ya uuguzi na ukunga nimehitimu mwaka jana vyet vyote ninavyo na niko tayar kufanya kazi wodi yoyote na kituo chochote .
Asanteni naomba kuwasirisha

Habari wakuu,
Watu wenye ujuzi huu wanahitajika haraka.

-Nurse..Qualification,Degree/Diploma.Not above 38 years.
-Nurse assistant, Qualification,Certificate in nursing,Not above 35 years.
Qualified women are strongly encouraged to apply.

Interested applicant should send their application letters and CVs viaadmin@makivf.co.tz
Deadline 30th -December -2016
 
Back
Top Bottom