Natafuta kazi ya upishi

Natafuta kazi ya upishi

Habar wana jf

Mim ni kijana mwenye umri wa miaka 22 mkazi wa kigambon natafuta kazi ya upishi nina uzoefu wa mwaka mmoja nilikua nafanya kazi ilala hivyo kama kunamtu anatafuta mpishi labda wa kumpikia nyumban,mgahawan au kampun la kupika kwenye shughuri naomba asisite kunipigia pia ni mtaalam wa chips naweza kufanya kazi ya chipsi au grocery napatikana kigambon sim namba :0767959073 Au 0620134042 asanten sana
Umeshapata mkuu au bado
 
Tangazo fupi mno. Umetaja chips tu. Ungesema aina za vyakula kama vile vya kiaftika, kizungu, kiasia nk.
 
Back
Top Bottom