Ndugu usibishane na hawa watoto watakuharibia heshima yako bure...Wewe ndio msemaji wake au umeamua tu kuandika?Wewe unaweza kuwa shem wangu?
masanjuo umeumbika hatari.... sipati picha ukivaa vile vigauni vya manesi hilo kalio inakuwaaje.... wagonjwa watakuwabhawachelewi kupata nafuuVyoteeee tyuuu
Nipo hapa.Nananiii
Hujaweka kama ni registered or not au elimu yako ni ipo ila umeweka HAUJAOLEWA.Natafuta kazi ya unesi popote ilipo tafadhali msisite kunitaarifu.
Mimi ni binti wa miaka, 23 cjaolewa.
Nimesomea nursing nilikuwa natafuta kazi ili nijiingzie kipato hapa mjini
asante ...Tangzo ili usisite kumtarif mwenzio
Hata kuandika tu inakupa shida kwa hiyo nimeishaona level yako ilipoishia kwa hiyo kuendelea kujibishana na wewe ni kukosa kazi.




Uniwez siolew namamariooo
Vyoteeee tyuuu
Hilo tangazo ni two in oneEti sijaolewa![]()
hili tangazo sijaelewa limeegemea zaidi upande upi.
