Natafuta kazi ya unesi

Natafuta kazi ya unesi

ukimsaidia kazi mtoto wa kike hata siku ukikutana naye njiani atakuruka hakujui ngoja nipite nisiseme neno
Mkuu.....
Hawa viumbe tuliambiwa tuishi nao kwa akili.
Msaidie binti kupata kazi, kisha akisha pata weuna mkaushia na unaendelea na maisha mengine.
Tatizo sisi wanaume skuizi tumesha ona kwamba kwakua ajira zimekua tatizo, basi ndio tunatumia gape ili tuwafanye alafu tunawatosa
 
You look so cute jamani,jibu PM zangu please!!.........Yaani ulivyo cute ukijibu PM zangu nakupa hela!
Huyo ndio shem wamkoani hahahahahaha ama kweli bado mna safari ndefu hadi mje kujitambua.......lol
 
Mmemchanganya hadi mod hajui huu uzi auweke MMU hau NzK/T.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom