Natafuta kazi ya unesi

Natafuta kazi ya unesi

Wewe ndio msemaji wake au umeamua tu kuandika?Wewe unaweza kuwa shem wangu?
Yaani siku yangu imekuwa swafi kabisa,zawadi ya kuvamia treni kwa mbele ni kupata za uso namna hiyo!!! .........asante sana my cute masanjuo kwa sababu nilikuwa nimeshaanza kumshindwa huyu mdandia treni kwa mbele!
 
Sa nesi ile supu vip ipo? Natafuta daktar binafs wa kunitibu
 
Yaani siku yangu imekuwa swafi kabisa,zawadi ya kuvamia treni kwa mbele ni kupata za uso namna hiyo!!! .........asante sana my cute masanjuo kwa sababu nilikuwa nimeshaanza kumshindwa huyu mdandia treni kwa mbele!
Mnaonekana wote akili zenu fyatu ndio maana mnaelewana.Na kuanzia leo hata kwangu usikanyage
 
Mkuu unatafuta kazi ya uness au kazi ya kutoka na Baba wa mtu
Teenagers wakishapaka mkorogo kidogo wanapata confidence yakusema chochote wakiamini wao wazuri sasa naona anaingia anga zisizoingilika
 
Huna adabu binti tena kuwa muangalifu kama unatafuta bwana utampata ila huna hadhi hata robo yakuwa na mzee wangu kwa hiyo jiheshimu
Jiheshmu ww unaeongea pumba uliyatak ukiendlea utakul mengi
 
Jiheshmu ww unaeongea pumba uliyatak ukiendlea utakul mengi
Hata kuandika tu inakupa shida kwa hiyo nimeishaona level yako ilipoishia kwa hiyo kuendelea kujibishana na wewe ni kukosa kazi.
 
Kazi ya unesi, il anatakiwa nesi mwenye familia kwa maana ya kwamba ameolewa...
 
Mkuu.....
Hawa viumbe tuliambiwa tuishi nao kwa akili.
Msaidie binti kupata kazi, kisha akisha pata weuna mkaushia na unaendelea na maisha mengine.
Tatizo sisi wanaume skuizi tumesha ona kwamba kwakua ajira zimekua tatizo, basi ndio tunatumia gape ili tuwafanye alafu tunawatosa
mkuu humu kuna madada na washkaji kibao nishawapaga michongo ila mademu kwasasa "no"
 
Hata kuandika tu inakupa shida kwa hiyo nimeishaona level yako ilipoishia kwa hiyo kuendelea kujibishana na wewe ni kukosa kazi.
Pole sana nakwel n kaz tena c ndogo ujipngeee wengn atuinglikiii ohooo
 
Natafuta kazi ya unesi popote ilipo tafadhali msisite kunitaarifu.

Mimi ni binti wa miaka, 23 cjaolewa.

Nimesomea nursing nilikuwa natafuta kazi ili nijiingzie kipato hapa mjini
asante ...Tangzo ili usisite kumtarif mwenzio
Hivi masanjuo ndio weye kwenye pic au ... Maana pic yako ni interview tosha unaweza pita au laaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom