Ataweza kazi kwa uandishi huo kweli?
Liberian???? Aiseee!Mimi ni msichana wa miak 22 natafuta kaz ya ukutubi kwa aliyetayar anichek kw nmba 0655 182654
MmhMimi ni msichana wa miak 22 natafuta kaz ya ukutubi kwa aliyetayar anichek kw nmba 0655 182654
ya kweli?Mimi ni msichana wa miak 22 natafuta kaz ya ukutubi kwa aliyetayar anichek kw nmba 0655 182654
Ndio kawaida yetu watanzania... tunapenda kukosoa sana hasa pale mtu anapokosea kwenye kiingereza...Yawezekana ni makosa ya uchapaji, simujanja (smartphone)huwa zina''suggest'' kufuatana na ulivyotangulia kuandika. Labda kabla ya kuandika hilo neno ''librarian'' alishawahi kuandika ''liberian ''
Kosa kubwa alilofanya yeye ni kutokuhariri (edit) kabla ya ''kupost''