Natafuta kazi ya ukutubi (Liberian)

Kama ndio ulituma maombi ya kazi

Ase barua yako inatupwa dustbin huku wewe ukiwa nyumbani na matumaini huenda utaitwa
 
Ataweza kazi kwa uandishi huo kweli?

Yawezekana ni makosa ya uchapaji, simujanja (smartphone)huwa zina''suggest'' kufuatana na ulivyotangulia kuandika. Labda kabla ya kuandika hilo neno ''librarian'' alishawahi kuandika ''liberian ''

Kosa kubwa alilofanya yeye ni kutokuhariri (edit) kabla ya ''kupost''
 
Mi nakushauri huu uzi futa halafu andika kwa kiswahili unaelimu gani, umesoma wapi, uzoefu wako n unapatikana mkoa gan.
 
1. Huyu huenda anajiuza tu ndo maana kaweka namba ya simu...Ajira ngumu sana sasa hivi

2. Napenda sana watu wa hivi....Anaachia uzi af anasepa hammuoni tena kwenye comments mpaka muache unaa
 
Yaani wadau hamjamuelewa. Anaomba kazi ya ukutubi, ikishindikana basi anaomba apewe uraia wa Liberia. Mabano pia humaanisha neno AU
 
Yawezekana ni makosa ya uchapaji, simujanja (smartphone)huwa zina''suggest'' kufuatana na ulivyotangulia kuandika. Labda kabla ya kuandika hilo neno ''librarian'' alishawahi kuandika ''liberian ''

Kosa kubwa alilofanya yeye ni kutokuhariri (edit) kabla ya ''kupost''
Ndio kawaida yetu watanzania... tunapenda kukosoa sana hasa pale mtu anapokosea kwenye kiingereza...

Ukikosea kiswahili hakuna anayejali... kosea kiingereza uwaone wasomi wa bongo watakavyokushambulia.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom