Natafuta kazi ya ukutubi (Liberian)

Mimi mwenyewe ni mkutubi, ninakushauri nenda Marian college of university cha bagamoyo wanataka mkutubi mwenye degree au masters
 
Mimi ni msichana wa miak 22 natafuta kaz ya ukutubi kwa aliyetayar anichek kw nmba 0655 182654
Kwanini unatoa namba yako ya simu hadharani bila sababu? Nikichukua namba nianze kukutongoza unaanza majungu ooh wanaume wasumbufu sana:D:DFuta namba, mwenye kazi atakufuata inbox.
 
Hujui hata jina la kazi yako uliypsomea Liberian ni nini? Au unatokea Liberia kama ni heo wewe ni Librarian, jitahid hata kwa kukariri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom