natafuta kazi ya uhasibu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

natafuta kazi ya uhasibu

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by topilo, Aug 25, 2010.

 1. t

  topilo New Member

  #1
  Aug 25, 2010
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I am graduate of b. com accounting i find the following post accountant,credit officer and finance 0717835019
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  karibu sana JF
   
 3. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2010
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,131
  Likes Received: 23,743
  Trophy Points: 280
  Mmmmhhhh!.
   
 4. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #4
  Aug 26, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Bcom ya wapi hiyo kaka/dada? Andika kiswahili tu utaeleweka na utasaidiwa maana kwa namna ulivyoandika unaweza ukakosa hata kazi unayoitafuta.
   
 5. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Elimu zetu hizi mungu atusaidie.sasa we umesoma b com hata lugha inakuwa shida tena?hatukatai kuwa lugha ni ya wenzetu ila bora ungeandika kwa kiswaili ili iwe rahisi ata kueleweka.
   
 6. S

  Simbamwene JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2010
  Joined: Jun 22, 2008
  Messages: 287
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
 7. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #7
  Aug 26, 2010
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  We have a long iif not wrong way to go...kwa kukusaidia kijana...next time unaandika kiswahili na tutakuelewa vizuri sanaaa....sio kiingereza chako cha ajabuajabu hapa hata hatujui tukusaidie nn
   
 8. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #8
  Aug 26, 2010
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  jamani mbavu zangu, kweli kingeretha wito ithee!
   
 9. Enny

  Enny JF-Expert Member

  #9
  Aug 26, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Hapo inaeleweka amepata kazi tayari sasa sijui kapata kampuni gani? Wala sidhani ni B.Com holder atakuwa anajua kuna watu wanakuwa na B.com ameamua kuandika tu (It is a joke)
   
 10. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #10
  Aug 26, 2010
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  MOD, please, kwa kumhifadhi, naomba uipeleke hii kwenye jokes ili ionekane alikuwa anataka tukeche jinsi watu wanavyochakachua lugha
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  Aug 26, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kama kweli wewe ni graduate basi kazi ipo kwenye vyuo vyetu! Usijali kama wewe ni binti basi wasiliana na Mchungaji kuna kazi kwenye kanisa la ufufuo la Masa Evangelical Church.
   
 12. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #12
  Sep 5, 2010
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kaaaazi kweli kweli
   
 13. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #13
  Sep 5, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Kasome Daily News, Mtanzania, Habari Leo, Changamoto, Nipashe, Uhuru au sikiliza Clouds FM. Au tizama TBC na ITV.

  Kama ndo umetumwa namba zetu za simu, hapa tuko kiusalama zaidi. Sisi wenyewe makachero vilevile.

  Badili mbinu, hiyo tumeishitukia.
   
Loading...