Natafuta kazi ya udereva

Natafuta kazi ya udereva

We Jichanganye na E yako endesha hata Daladala utaona
Nna Masters ya Machenical Engineering Pamoja na Filter machenics Engineering

Na Sitafuti kazi ya Udereva
Niliandika vile ilikuwa kama kivutuo cha Maada.

NENDA KESHO TRA
HAPO UTAJUA KUWA MFUMO MPYA WA UTOAJI LESENI UNARUHUSU MTU KUPEWA LESENI KULINGANA NA MADARAJA ANAYOOMBA .

TATIZO LA WATANZANIA WENGI HUWA WANAPENDA KUTUMIA WATU WA KATI KWAKILA WANACHOFANYA BILA KWENDA WAO WENYEWE

NENDA KESHO TRA na LESENI YAKO YA DARAJA E
HATA KAMA MDA WA KUISHA BADO
KAJAZE FORM KWA KUOMBA MADARAJA Ya LESENI
HALAFU KAOME
C1 , C2 , C3 WANAKUPA BAADA YA KUFANYIWA MAJARIBIO

MUHIMU NI KUANDIKA SABABU ZA MSINGI ZA KUOMBA MADARAJA HAYO.
 
CHUO KIPO MABIBO
ukishuka Ubungo Bus Terminal
Usipande Daladala
Tembea tu kwa Miguu
Unapita Road ya Ubungo maziwa mpaka mabibo Mwisho
Mabibo mwisho kuna Daladala ila wewe usipande
Shusha tu na Road
Utatembea kidogo tu
Utafika chuoni NIT pia utaona na Banko .

Ni karibu mno na Ubungo bus Terminal , kwa miguu tu unafika
Vipi kuhusu boda boda mkuu? Kama nauli anayo pia haruhusiwi kupanda?
 
Nna Masters ya Machenical Engineering Pamoja na Filter machenics Engineering

Na Sitafuti kazi ya Udereva
Niliandika vile ilikuwa kama kivutuo cha Maada.

NENDA KESHO TRA
HAPO UTAJUA KUWA MFUMO MPYA WA UTOAJI LESENI UNARUHUSU MTU KUPEWA LESENI KULINGANA NA MADARAJA ANAYOOMBA .

TATIZO LA WATANZANIA WENGI HUWA WANAPENDA KUTUMIA WATU WA KATI KWAKILA WANACHOFANYA BILA KWENDA WAO WENYEWE

NENDA KESHO TRA na LESENI YAKO YA DARAJA E
HATA KAMA MDA WA KUISHA BADO
KAJAZE FORM KWA KUOMBA MADARAJA Ya LESENI
HALAFU KAOME
C1 , C2 , C3 WANAKUPA BAADA YA KUFANYIWA MAJARIBIO

MUHIMU NI KUANDIKA SABABU ZA MSINGI ZA KUOMBA MADARAJA HAYO.
Hizo hatua za kujaribiwa mwisho wa siku utapoteza hela nyingi mno kwa matrafiki njaa njaa. Nunua leseni kisha nenda School kasomee cheti.
 
Back
Top Bottom