Salaam Kwenu.. Wanahitajika Bus Drivers..
Kwa mwombaji awe na vigezo vifuatavyo;
1. Awe amepitia mafunzo Chuo cha NIT au VETA na kufuzu kwa uthibitisho wa Certificate yake sambamba na uzoefu wa kuendesha bus la abiria kwa muda usiopungua miaka 8.
2. Asiwe na record yoyote ya ajali.
3. Awe na moyo wa kijituma na kuipenda kazi yake
4. Awe na discipline pamoja na usikivu
5. Awe mwaminifu na asiye na tamaa ya udokozi, wizi, n.k
6. Awe na idea ya ufundi incase of breakdown kwa bus akiwa safarini awe ana uwezo wa kutatua tatizo.
7. Awe ni mtu wa Matendo zaidi kuliko maneno.
8. Awe Mkarimu na mstaarabu anayeweza kuwahudumia wateja vizuri pale itakapobidi kufanya hivyo.
9. Asiwe mbinafsi, mbaguzi na asiyekuwa na ukabila
10. Anayejali muda akiwa safarini na asiye na pupa kwenye uendeshaji bus
11. Awe mcha Mungu - Muislam ama Mkristo lakn mwenye hofu ya Mungu
12. Asiyekunywa pombe, asiyevuta sigara ama Bangi.
13. Mwenye afya njema, asiwe na magonjwa ya sukari, BP, pumu, HIV - hapa lazima vipimo vitahusika kwenye Clinics maalum
14. Awe Msafi na anayejipenda mwenyewe pamoja na bus analoliendesha
Barua za maombi zenye mawasiliano ya namba za simu za mihisika ikiambatanishwa na nakala za leseni hai ya Daraja la C, cheti cha Chuo pamoja na uthibitisho wa barua inayoelezea utendaji wake wa kazi mahali ulipotoka vyote vianbatanishwe na vitumwe kwa njia ya Barua kwa ;
Mkurugenzi Mkuu
Dar Lux Co Ltd
P.O Box 12233
Dsm
Ama maombi yanaweza kupokelewa Ofisi yetu ya Shekilango - Dar es Salaam
Maombi yote yatapitiwa na watakaochaguliwa watapigiwa si
mu kwa ajili ya usaili utakaofanyika siku ya Tarehe 22 Saa 4 asubuhi pale Tegeta kwenye workshop yetu