dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,833
- 20,354
Ngoja kuna jamaa alikua anahitaji madereva Wa daladala nitakupa namba zakeNdio Naweza Kufanya Mkuu
Ila MDH upande wa geita walitoa tangazo la kazi pia walihitaji madereva nikutumie file?
Ngoja kuna jamaa alikua anahitaji madereva Wa daladala nitakupa namba zakeNdio Naweza Kufanya Mkuu
Leseni Daraja ESasa atafanyaje kazi za daladala na huku ana C yoyote.??? Usije fia jela mzee. Nenda NIT kasomee VIP. Hata Veta wanatoa C. Ila nenda NIT. C
NIT mm nilisoma paleC mpaka awe na cheti cha F4!
Faini ya Papo kwa hapoKwan
Kwani ukikamatwa na gari ya biashara na leseni yako haina C faini ni nini?
Kuna dogo kamaloza 4 kachemka na hana academic certificate akienda course za NIT itamuathiri kiasi gani kutokuwa na cheti wakati wa kutafuta ajiraKama wiki mbili hiviiBei ni Laki 4 na 50 kama sijakosea. Kama unajua udereva ndio fani yako basi nenda NIT kasome course ya VIP au industrial grade 1 na two hapo utapta kazi serikalini
Hela au kufungiwa na kupokonywa leseni?Faini ya Papo kwa hapo
PoaNgoja kuna jamaa alikua anahitaji madereva Wa daladala nitakupa namba zake
Ila MDH upande wa geita walitoa tangazo la kazi pia walihitaji madereva nikutumie file?
Sawa mkuu shukran. Na huwa mafunzo ni asubuhi mpaka jioni au masaa machache tu kwa siku?Kuna dogo kamaloza 4 kachemka na hana academic certificate akienda course za NIT itamuathiri kiasi gani kutokuwa na cheti wakati wa kutafuta ajira
Broo usidanganye UMMa. Soma Vizuri Discription ya Madaràja ya LeseniLeseni Daraja E
Ina
A , B , C1 , C2, C3 ,D na E
Kwahyo Costa mwenye Daraja E anaendesha bila shida na Traffic
Ajira Serikalini Wanapeana Kwakujuana kwahyo kivyovyote itamletea shidaKuna dogo kamaloza 4 kachemka na hana academic certificate akienda course za NIT itamuathiri kiasi gani kutokuwa na cheti wakati wa kutafuta ajira
Leseni yangu mm ina Madaraja hayo yote nilioyatajaBroo usidanganye UMMa. Soma Vizuri Discription ya Madaràja ya Leseni
Boss, NIT hawafundishi watu Udereva. Wanaoenda kusoma NIT ni watu amabao ni madereva tauari yaani awe na Class D au E ambayo imefanya kazi mwaka mmoja ñdo ataweza kusoma Course zA VIP na PSV na HGV. So kama mdogo wako hajawai somea udereva basi aende veta na baada ya mwaka mmoja aende NITKuna dogo kamaloza 4 kachemka na hana academic certificate akienda course za NIT itamuathiri kiasi gani kutokuwa na cheti wakati wa kutafuta ajira
Hakuna icho kitu boss. Omba ajira kwa ajira Portal kila kitu kipo waziAjira Serikalini Wanapeana Kwakujuana kwahyo kivyovyote itamletea shida
Ila ye aende akasome tu
Vipindi ni asubuh mpaka MchanaS
Sawa mkuu shukran. Na huwa mafunzo ni asubuhi mpaka jioni au masaa machache tu kwa siku?
Najua kila kitu boss. Namiliki Leseni mwaka wa 6 sasa. Ila usijidanganye kuwa Eti Class E unaweza endesha kwa C1, C2, C3 Na C kavu.Leseni yangu mm ina Madaraja hayo yote nilioyataja
Kumbuka : sikuizi Wanatoa leseni mpaka uwe na Chet cha chuo ulichosomea Udereva
Sio kama Zaman
Wanachukuliwa wenye Daraja E tuBoss, NIT hawafundishi watu Udereva. Wanaoenda kusoma NIT ni watu amabao ni madereva tauari yaani awe na Class D au E ambayo imefanya kazi mwaka mmoja ñdo ataweza kusoma Course zA VIP na PSV na HGV. So kama mdogo wako hajawai somea udereva basi aende veta na baada ya mwaka mmoja aende NIT
Vipindi inategemea na course unayosoma. Kuna vipindi viwili kwa siku na kipindi kimoja. Course zipo za siku 7 siku 14 na mwezi inategemea unataka ipiVipindi ni asubuh mpaka Mchana
Hata Daraja D wanachukuliwa ukiwa na leseni yenye mwkà na zaidiWanachukuliwa wenye Daraja E tu
Na wenye Uzoefu wa Mwaka mmoja