Pius Mbaule
New Member
- Mar 9, 2018
- 4
- 2
Mm nina umri wa miaka 29,ni dereva mwenye leseni daraja E, elimu yangu ni darasa la saba, naishi Dar es salaam Gongo la mboto, nimefanya kazi sehemu tofauti kwa muda wa miaka minne(4) ila kwa sasa sina kazi. Naomba kazi kwa mwenye taarifa ya kazi.
Phone No.0677363509.
Asanteni sana.
Phone No.0677363509.
Asanteni sana.