Natafuta kazi ya udereva wa Uber

Sep 22, 2020
24
75
Habari kwa mara nyingine tena,

Ndugu zangu bado sijafanikiwa kupata kazi ya udereva wa magari madogo hasa ya uber,nimekuja tena kwa mara nyingine kuomba msaada huu kwenu, kwa yeyote mwenye uhitaji wa dereva iwe kwa mizunguko yake binafsi au kwa kazi ya kufanyia biashara ya Uber hapa mjini au hata nje ya mkoa wa Dar es Salaam (kwa dereva binafsi) naomba msaada wake katika kunifanikishia hitaji hili.

Nina uzoefu wa muda mrefu barabarani na namshukuru Mungu kiukweli kwenye kunilinda na kuniongoza siku zote.

Naomba msaada wenu ndugu zangu au connection kwa yeyote mwenye uhitaji huu.

Naomba kuwasilisha.
 
Rosati

Member
Feb 9, 2013
87
125

Naomba qualifications zako mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom