Natafuta kazi ya udereva wa magari.

Natafuta kazi ya udereva wa magari.

Lmuro

New Member
Joined
Aug 8, 2018
Posts
2
Reaction score
1
Mimi kwa majina naitwa Laban Muro nina miaka 28 ni mzaliwa wa moshi na pia ni mtanzania kiasili, elimu yangu nimeishia kidato cha pili na kwa elimu ya ujuzi nimesomea ufundi wa magari madogo na udereva veta.

Nimekuwa nikifanya kazi hii ya udereva katika kampuni za ukandarasi wa barabara kwa muda kiasi tu na kabla sijawa dereva nimefanya kazi ya utingo katika malori ya masafa marefu takriban miaka 2,kabla ya kwenda kusomea rasmi chuoni veta. Kama kuna yeyote anaehitaji dereva wa kudumu nipo tayari kufanya kazi katika maeneo tofauti hapa nchini, kwa ujumla sina tabia za utovu wa nidhamu kwa mdogo wala mkubwa, ningependa msaada kutoka kwenu.

Kwa mawasiliano yangu 0744586289
Napatikana moshi ila nipo na mtu kwa gari yake nikizunguka nae kujaribu kupata kazi .
IMG_20181128_112751.jpeg
IMG_20181128_112818.jpeg
 
hivi veta ada sh ngapi kwa mafunzo ya udereva na ufundi magari madogo
 
Nenda sbc Arusha (Pepsi)
Kuna nafasi za kazi

Kwa msaada zaid Ni pm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom