Natafuta kazi ya ualimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta kazi ya ualimu

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by GABE100, Mar 27, 2012.

 1. G

  GABE100 Member

  #1
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Natafuta kazi ya ualimu katika jiji la dar es salaam. Nina uzoefu wa miaka mitatu na nina diploma ya ualimu wa sekondari katika masomo ya history na geography. Vile vile nina uwezo wa kufundisha somo la civics na general study. Kwa mawasiliano napatikana kwenye 0686731371. kama kuna kazi nyingine ya part time niko tayari kuifanya ilmradi iwe na maslahi na iwe kwa mujibu wa sheria za nchi.
   
 2. ldd

  ldd JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 792
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Peleka barua wizaran!
   
 3. G

  GABE100 Member

  #3
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wizarani wanaajiri full time wakati mimi natafuta part time ili niweze kuhudhuria masomo chuoni ndugu yangu
   
Loading...