Natafuta kazi ya ualimu(mathematics)

Nafikiri sahivi focus sana kwenye masomo..maswala ya connection achana nayo maliza shule kwanz then hayo mengine baadae
unaongea vizur ndugu yangu lakini ndo tunauliza uliza mtusaidie nyie mliongia kwenye connection nisaidie namba yako
 
Mdogo wangu connection ya nini wakati bado hujamaliza shule...akili yako yote sahivi ipeleke kwenye kusoma ili ufaulu vizuri....haya mengine achana nayo ukishamaliza chuo ukafaulu vizuri ndo utayaanza haya mengine
 
mm najua uwezo wangu mpaka nakwambia hivyo ukumbuke bado semester moja tu that's why naangalia mbali kuhusu masomo najua uwezo wangu nipo vizur Sana mungu kwenye hayo masomo pia ni best student hapa udsm katika hayo masoma
 
Kama uwezo wako mkubwa haina haja ya connection..utatumia hizo akili zako za darasani kutafuta kazi...
 
haya kaka nisaidie namba zako ili nikimaliza nikucheki unajua nafanya hivi as random selection popote patakapotick sawa sina maana mbaya Kama umenipata vizur ww upo kwenye system unajuana na watu wengi Sana ndo maana nikakuomba kwa hilo sina maana kwa sasa
 
Maliza shule hebu kwanza
shule ishaisha bro tu that's lazma nifocus na future unafanya nn baada ya kumaliza lazima uwe na chain ushaitengeneza inakuwa vizur pakuanzia chain yenyewe ndo nyinyi nikama skuli vile ulikuwa unasoma topic za mbele kwann ili tu ikifika time uende naza sawa I think u get what I mean mm ninachohitaj ni chain mambo ya kumaliza shule yapo tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom