Natafuta kazi ya U-DJ

Natafuta kazi ya U-DJ

DJ Imma

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
221
Reaction score
100
Habari ndugu zangu!! mimi natafuta kazi ka kupoga mziki (DJ) katika club, concerts, na sehemu yoyote inayopigwa mziki

nina uzoefu wa zaidi ya miaka 8, Naomba msaada wenu! kwa maelezo zaidi naomba PM
 
mtafute mbowe wa chadema, anaclub yake ya billcanas, huenda akakusaidia.
 
8 years experience, means ulikuwa na ajira...

sasa imekuwaje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom