Natafuta kazi ya stationary

Natafuta kazi ya stationary

mimi dada

Member
Joined
May 16, 2015
Posts
6
Reaction score
1
Natafuta kazi ya stationary
Elimu yangu kidato cha nne na nimesomea mafunzo ya computer program zifuatazo- ms word,excel,publisher, powerpoint,access, internet na photoshop
Uzoefu wangu ni miaka mitatu nikifanya shughuli zote za stationary kama typing,kutengeneza kadi, bussiness card,kupiga passport size, huduma za internet na kazi nyinginezo za stationary
Kwa yeyote anayehitaji mfanyakazi naomba anijulishe
Niko Dar es saalam
Email yangu: abelapangani@gmail.com
 
Natafuta kazi ya stationary
Elimu yangu kidato cha nne na nimesomea mafunzo ya computer program zifuatazo:- ms word,excel,publisher, powerpoint,access, internet na photoshop
Uzoefu wangu ni miaka mitatu nikifanya shughuli zote za stationary kama typing,kutengeneza kadi, bussiness card,kupiga passport size, huduma za internet na kazi nyinginezo za stationary
Kwa yeyote anayehitaji mfanyakazi naomba anijulishe
Niko Dar es saalam
Email yangu: abelapangani@gmail.com

jaribu usome thread zilizoandikwa week hii kuna kazi ya stationary.
 
Natafuta kazi ya stationary
Elimu yangu kidato cha nne na nimesomea mafunzo ya computer program zifuatazo- ms word,excel,publisher, powerpoint,access, internet na photoshop
Uzoefu wangu ni miaka mitatu nikifanya shughuli zote za stationary kama typing,kutengeneza kadi, bussiness card,kupiga passport size, huduma za internet na kazi nyinginezo za stationary
Kwa yeyote anayehitaji mfanyakazi naomba anijulishe
Niko Dar es saalam
Email yangu: abelapangani@gmail.com
Dada unaweza niandikia vifaa vyote vya stationary ili nivitafute huku na nikutumie tufanye kazi.ni pm ok

swissme
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom