Natafuta kazi ya security officer/guard

monotheist

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
886
Reaction score
1,588
Natumaini hamjambo, nami pia sijambo nimefanya kazi ya security kwa miaka 5 maeneo mbalimbali ikiwemo serena hoteli mwaka 1, viwandani miaka miwili na airport terminal 3 mwaka 1, na nimefanya kazi hayo maeneo kupitia GARDAWORLD hivyo nina uzoefu wa kutosha
kama kuna yeyote anaweza kunisaidia kazi tafadhali ni-PM nitajibu haraka iwezekanavyo
Nawasilisha
 
Miakq mitano mkuu bado unaitaka kaz hiyo hiyo? Kazi ya gani sasa ile?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…