Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,494
- 21,453
Wazo zuri sana...Yani unajua hayo yote unatafta uajiriweee??? Jamani mbona hujitendei haki. Km huna mtaji anza kusukia nyumbani Na ukipata mteja hakikisha unatumia ujuzi wote ili ujitangaze,,ukishasuka watu watano tu vzuri,, utawakimbia wateja, suka vzuri weka bei ya kawaida tu,,ukitaka kuajiriwa hutafaidi chochote