Natafuta kazi ya nursing

Hujaenda kwenye usahili wa Wasafi Tv?
 
Kwan dar wameshaaza
Itakua bado basi subiri wakifika ukajaribu bahati yako Mungu atakusaidia, pia watu wanapokuomba picha zako usidharau wengine wanataka kuona muonekano wako mana kuna kazi nyingine zinazingatia muonekama kama duka la vipodozi na nyinginezo
 
Ok
 
Ipo msaidizi wa nyumbani(dada)
Mshahara 70.000/= chakula,malazi,matibabu na huduma zingine za kijamii juu yangu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…