Natafuta kazi ya nursing

Natafuta kazi ya nursing

Rahmamohammed

Member
Joined
Feb 23, 2018
Posts
34
Reaction score
13
Habari, naitwa farida naishi magomeni, nimesomea uuguzi na ukunga ngazi ya cheti, nafanya kazi sehemu yeyote kwa mawasiliano yang ni 0713959740
 
Habari, naitwa Rahma na nina miaka 22.

Naomba msaada kwa anaeweza kunisaidia kupata kazi yeyote ya halali lakini iwe Dar es Aalaam. Nina diploma ya uwandishi wa habari.

Nikiwa nasubiri cheti changu sitaki kukaa bure kwa sababu najitegemea. Nipo serious jamani utani sihitaji

Namba yangu 0782342046, halafu kuna baadhi ya watu wana tabia sio nzuri, utakuta anakufuta PM au Whatsapp na kuaza kukwambia nitumie picha zako. Jaman hiyo tabia ife. Unajiona hauna uwezo wa kunisaidia ni bora utulie tu si kuaza kusumbuana

Angalizo tu, Sitafuti mpenzi natafuta kazi, halafu sio tangazo naloliweka ni langu wengine wananiomba niwasaidie tu lakini hili ni langu.

Ahsanteni
 
Habari, naitwa Rahma,nina miaka 22.
Naomba msaada kwa anaeweza kunisaidia kupata kazi yeyote ya halali lkn iwe Dar es salaam, namba yangu 0782342046....lkn Nina diploma ya uwandishi wa habari. nikiwa nasubir cheti change sitaki kukaa bure kwasababu najitegemea...., ila Nipo serious jamani matani sitaki, nip dar ....halafu kuna baadhi ya watu tabia sio nzuri, utakuta ankufata pm au whsap n kuaza kukwmbia sijui nitumie picha zako .....jamn hiyo tabia ife ....unajiona hauna uwezo wa kunisaidia nibora utulie tu si kuaza kusumbuana:
Angalizo tu, Sitafuti mpenzi natafuta kazi, halafu sio tangazo naloliweka ni langu wengine wananiomba niwasaidie tu lkn hili ni langu.. Ahsanteni
TOA HIYO AVATAR KWANZA!!!! INASOMEKA KUWA UNATAFUTA MPENZI .............
TABIA IFE KIVIPI WAKATI NDO KWANZA MGENI UMEINGIA HUMU IJUMAA SAA HIZI UNASEMA USHATONGOZWA MWEE?
 
Naweza lkn si yakulala, ni ya day...halafu naomb kujua ni dini IPI inazingatiwa
Mkristo maana utapita kwenye training ya mafunzo ya kidiji na kujitambua.
Ila kama sio mkristo sio mbaya.Karibu

Utalala,kula na kunywa kwa boss wako
 
Back
Top Bottom