Uko nimeshaomba mkuu, nataka za kusaidiwa na watanzania wenzangu
uko nimeshaomba mkuu, nataka za kusaidiwa na watanzania wenzangu
Umemaindiok asante kwa ku comment
hapana nduguUmemaindi
Kwa uzoefu wako huu huwezi kufungua kituo ukaandika unafanya computer repair ukapiga hela.
Maana nimetamani kweli mambo mengi unaweza fanya.Halafu IT hawezi hata kudukuwa systems huko social media ili mpige hela Kama wanavyofanya wanaijeria.
Changamoto ni nini Mkuu Mimi sikubahatika kusoma hizi mambo haki ya nani mm ningejifunza kudukuwa tu.