Natafuta kazi ya kusimamia Car wash

Natafuta kazi ya kusimamia Car wash

kingwenje

Member
Joined
Jun 19, 2020
Posts
78
Reaction score
112
Kazi za kuosha pia nitakua nafanya, ninauzoefu, na pia magari, ya manyu, na auto, naendesha mawasiliano 0757416664, nipo Dar.
 
Manyu

Ndio nin hyo
Chukuwa tahadhar San Kuna jamaaa ddm pale alipewa kuosha gari sijui alikwenda kutest kwa mbwembwe zake kabamiza gar la watu Tena ilikuwa hz za kimarekani uwe. Makini usiangike na gar za watu kupigapiga Reverse Bila sababu
 
Wewe kuosha magari na kusimamia car wash kuna husiana vipi na wewe kuendesha gari hizo za manyu na auto?! Hakuna mteja anapenda gari yake iendeshwe bali ionshwe.. This is rubbish [emoji1784][emoji1784]
Kuna car wash Zina wateja wengi hivyo baada ya gari kuoshwa huwa zinaenda pangwa sehem nyingine.
 
Manyu

Ndio nin hyo
Chukuwa tahadhar San Kuna jamaaa ddm pale alipewa kuosha gari sijui alikwenda kutest kwa mbwembwe zake kabamiza gar la watu Tena ilikuwa hz za kimarekani uwe. Makini usiangike na gar za watu kupigapiga Reverse Bila sababu
Ile inshu iliishia wapi [emoji23] [emoji23]

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Wewe kuosha magari na kusimamia car wash kuna husiana vipi na wewe kuendesha gari hizo za manyu na auto?! Hakuna mteja anapenda gari yake iendeshwe bali ionshwe.. This is rubbish [emoji1784][emoji1784]
Ushawahi kwenda carwash? Mfano kuli position gari ili lioshwe chini utaendesha mmiliki au vijana wa kuosha? Kupanga magari sehemu nyingine atafanya nani?
 
Ushawahi kwenda carwash? Mfano kuli position gari ili lioshwe chini utaendesha mmiliki au vijana wa kuosha? Kupanga magari sehemu nyingine atafanya nani?
Kaka siwezi ruhusu mtu aendeshe gari yangu ya kazi.. Nitaipack ataosha akihitaji nitaligeuza na kupack.. Gari ni office ya boss sometimes.. Kwanza ndo yale ya dodoma[emoji23][emoji23] mtu anaenda litupa mlimani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom