Natafuta kazi ya kununua jamani(kwa moshi)

nicnic

Member
Oct 2, 2012
23
1
nina diploma ya uhasibu CBE,mwaka wa 3 niko nyumbani msaada wa kazi jamani kwa hapa moshi,nina kilo 2 na nusu.
 
Mmmmmh! Hivi kweli wote tukitumia njia hii tutakuwa wajiriwa wenye vigezo stahili?
 
licha ya kwamba niko kwenye huo mkumboooo wa kutafuta kazi zaidi ya MWAKA cdhani kama nitafanya ivo,where is your professional ethics as accountant?
 
Hauko peke yako, ila unahitajika Kumwomba sana Mungu kwani kupata kazi ni bahati sana siku hizi
 
maisha ni malengo na kuchagua,mimi nimeona this is the way out kama we una namna nyingine ya kuendesha maisha bila ajira tujuzane.hizo ethics napaswa nikaziapply kazin c mtaan
 
Hauko peke yako, ila unahitajika Kumwomba sana Mungu kwani kupata kazi ni bahati sana siku hizi

thankx 4 the courage von bado nina subira najua Mungu wangu c kiziwi ,ila ndo hivyo tunataribu njia ambazo wengine wametokea
 
mkuu nicnic mie nimesoma fani tofaut nimegraduate last yr na nko mzigon fan yangu haina competitn kihivyo coz cweng wanasomea, cna connectn na wa2 wa fani yako bt jipe moyo utapata ila ondoka mosh hamna fursa za ajira kihivyo!
 
Last edited by a moderator:
mkuu nicnic mie nimesoma fani tofaut nimegraduate last yr na nko mzigon fan yangu haina competitn kihivyo coz cweng wanasomea, cna connectn na wa2 wa fani yako bt jipe moyo utapata ila ondoka mosh hamna fursa za ajira kihivyo!
ahsante kwa ushauri
 
fan gani umesomea?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom