Natafuta kazi ya kununua jamani(kwa moshi)

nicnic ,mimi nina mtazamo tofauti kidogo,usikurupuke kutoa final decision ya kuhama hapo ulipo kisa hamna fursa nyingi,fursa zipo popote ni wewe tu kuchakarika,jitoe ufanye volunteering kwenye kampuni yoyote,prefferably kampuni kubwa,ukiwaomba kupata experience,watakubali haraka,na kama ni wastaarabu,hawatakuacha hivyohivyo,watakupa hata za kujikimu,unapokuwa kazini,hata kama hulipwi,utajuana na watu wengi zaidi na unaweza ukawashawishi wakupe kazi kutokana na utendaji kazi wako.network yako itakuwa na utakuwa na uzoefu zaidi katika kazi,hiyo ni bora kuliko kukaa nyumbani kwani huwezi kuandika kwenye CV ulikaa nyumbani.....jambo lingine,jifunze,jifunze,jifunze....kila unapopata nafasi ya kujifunza kitu kipya wewe jifunze tu.kitakuwa na faida kwako siku moja.nakutakia kila la kheri Ciello ,mji wa moshi una ajira nyingi sana,sio kama unavyodhani,viwanda vinavyolisha miji ya kaskazini karibia vyote vinapatikana moshi,(vya bia,soda,sukari,kahawa),pia mji ule una wakulima wengi na kivutio cha mlima kilimanjaro,japo hub ya utalii ni arusha,watalii hutembelea moshi na hutumia pesa nyingi pale.Moshi kuna vyuo vikuu vi5,na iko karibu na Kenya,pia kuna international airport Moshi,so usipadharau kiviile.......@
nashkuru kwa ushauri nimeshapambana mno kila mahali hata kuvolunteer imekuwa shida naishia kupewa ahadi tu
 
umeninukuu vibaya! Sijasema moshi hakuna hayo usemayo ila somhw soko liko saturated na hakuna chanc ya ajira mpya kivile. I know the place and the situatn there in thats why nikampa idea ya kuwiden search area yake.
 
Last edited by a moderator:
well said,naunga hoja.......nina wasiwasi na nicnic,u haven't tried enough,try HARDER
umeninukuu vibaya! Sijasema moshi hakuna hayo usemayo ila somhw soko liko saturated na hakuna chanc ya ajira mpya kivile. I know the place and the situatn there in thats why nikampa idea ya kuwiden search area yake.
 
Last edited by a moderator:
kama una million tano mi ntakupatia kazi. so kuwa serious. hivyo vijilakh unataka kazi gani? kuzoa taka???? acha masikhara bwana. na hiyo course ya rushwa alikufundisha mkufunzi gani? maana hiyo naona watu wengine wanaipenda na kuitumia. we lete 5,000,000. mi nakupatia kazi nzuri tu ya maana ila kwa laki mbili utapata kazi ya kuzoa ....tuwasiliane kaka. na ukipata kwa pesa hiyo pia nijulishe maana hao watakaokupa watakuwa wanatuharibia soko.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom