zebanga watelanga
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 862
- 398
Wadau,
Nmemaliza diploma ya clearing freight forwading port management ktk chuo cha Bandari mwaka jana nahitaji kazi ikishindikana hata kwa kuanza kujitolea nikawa napata posho ili nipate uzoefu wa kazi.
KAZI AMBAZO NAWEZA KUFANYA
A) naweza kufanya kazi yakuza magari
B) Kufanya kazi kwenye warehouses
C) Icd mana yake Inland Container Depots
D) kazi za shipping line
E) clearing agent
F)Store manager
G)Kazi za logistics
H) cargo handling kwenye viwanda nakazi zingine zozote unawez nilekeza nikafanya
AU EMAIL wazebanga@gmail.com
simu 0712690760 AU 0755984282