mwanahabari93
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 263
- 170
Shukrani na ubarikiweAll the best
Ahsante sana kwa ushauri mungu akubariki sanaPeleka barua kwenye taasisi unazohisi zinaweza kukupa nafasi.
Hapa JF wengi ni waajiriwa wa nafasi za kati na chini hawafanyi maamuzi ya taasisi.
Ahsante sana ubarikiweAndika barua ya maombi Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya uliyopo pia. Waweza pata hio nafasi ya kufanya kazi kwa kujitolea.
Wewe ulikuwa wapi ukakimbia??Subiri waje
Mi nilikuwa huko nishakimbia hakusomeki hasa kama ni graduate
TangaWewe ulikuwa wapi ukakimbia??
Sawa kiongoz vipi huko ulipo pamesomeka??Tanga
Afadhali na hukuSawa kiongoz vipi huko ulipo pamesomeka??
Lengo letu kubwa la sisi kujitolea ni kupata ajira kwa baadae, na kwa hali ilivyo sasa ajira nying serikalin zinapita utumishi.sasa unaweza kujitolea na bado ukakosa kazi,,nakushauri ungeomba kujitolea hasa hasa kwenye private sector kama kwenye mashirika ya miradi mbalimbali,, kama kwa serikalin labda ujitolee kwenye taasisi zinazoajiri zenyewe..Habari zenu natumaini wote ni wazima na ambao sio wazima mungu awabariki na kuwatia nguvu mrudi kwenye hali zenu za kawaida.
Kama kichwa cha habari kinavyosema mimi ni kijana nina degree ya human resource management nilikuwa naitafuta sehemu ya kujitolea katika mkoa wa Tanga yeyote mwenye kujua taasisi ambazo naweza kupata fursa hiyo ya kuongengeza ujuzi katika career yangu anisaidie kwa kuni PM.
Pia mtu ambae anaweza kunishauri chochote juu ya kukuza career yangu nitashukuru. Na pia kama kuna mtu ambae ana uelewa mkubwa naweza kumuomba muda wake tukakutana nakuzungumza na kunisaidia kwa ushauri.
Mungu awabariki sana. Tuishi kwa kupendana na kusaidiana
Mkuu postikodi imeishia vipi huko ulipoSubiri waje
Mi nilikuwa huko nishakimbia hakusomeki hasa kama ni graduate
Mkuu kwenye kujitolea mi naona afanyie kokote private ama Ofisi za umma kikubwa Ofisi iwe na jina kubwa. Hapo ataishibisha Resume yake sio lazima alenge pale anapotaka aajiriwe. Kikubwa akipata ile barua kutoka ofisini kuonesha anajitolea sehem flan ndio itakayomsaidia kuvutia waajiri akienda kwenye mainterview sehem zengine maana siku hizi work experience ndo kigezo chao.Lengo letu kubwa la sisi kujitolea ni kupata ajira kwa baadae, na kwa hali ilivyo sasa ajira nying serikalin zinapita utumishi.sasa unaweza kujitolea na bado ukakosa kazi,,nakushauri ungeomba kujitolea hasa hasa kwenye private sector kama kwenye mashirika ya miradi mbalimbali,, kama kwa serikalin labda ujitolee kwenye taasisi zinazoajiri zenyewe..
Yaaa.ni kweli mkuu, japo siku hizi unaweza kwenda kwenye ofisi Fulani unaomba ujitolee hata bure lakini bado wanakukataliaMkuu kwenye kujitolea mi naona afanyie kokote private ama Ofisi za umma kikubwa Ofisi iwe na jina kubwa. Hapo ataishibisha Resume yake sio lazima alenge pale anapotaka aajiriwe. Kikubwa akipata ile barua kutoka ofisini kuonesha anajitolea sehem flan ndio itakayomsaidia kuvutia waajiri akienda kwenye mainterview sehem zengine maana siku hizi work experience ndo kigezo chao.
Tulimaliza salama kakaMkuu postikodi imeishia vipi huko ulipo
Umenena vyema na ni ushauri mzuri sanaMkuu kwenye kujitolea mi naona afanyie kokote private ama Ofisi za umma kikubwa Ofisi iwe na jina kubwa. Hapo ataishibisha Resume yake sio lazima alenge pale anapotaka aajiriwe. Kikubwa akipata ile barua kutoka ofisini kuonesha anajitolea sehem flan ndio itakayomsaidia kuvutia waajiri akienda kwenye mainterview sehem zengine maana siku hizi work experience ndo kigezo chao.
Hii ni kweli kabisaYaaa.ni kweli mkuu, japo siku hizi unaweza kwenda kwenye ofisi Fulani unaomba ujitolee hata bure lakini bado wanakukatalia