Habari wana JF I hope mpoa.
Mimi mi muhitimu wa diploma ya account mwaka jana nilijaribu kuomba mkopo nienndelee na bachelor ila nilikosa. Naomba kama mwenye kunisaidia nipate sehemu hata ya kujishikiza hata kujitolea ili mradi nisikae nyumbani huku nikijaribu mwaka huu kuomba tena mkopo vyeti tayari ninavyo.
Asanteni