Nakusalimu, Mimi ni Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Tumaini, Makumira Arusha, nachukua digrii ya BEd in Computer Science, natarajia kumaliza masomo yangu mwezi July. Naomba kama kuna uhitaji katika chuo chako au unafahamu pahali ambapo kuna uhitaji huo tafadhari naomba tuwasiliane kupitia simu yangu ya mkononi kwa namba 0658 950 264 au kwa njia ya email gidytitus@yahoo.com. Ningali bado kijana, ninao uzoefu wa kufundisha computer kwa kipindi cha miaka miwili kupitia mazoezi yanayoendeshwa na kusimamiwa na wahadhiri wa masomo kutoka chuo husika kwa kufundisha shule za Sekondari pamoja na Vyuoni kwa kuzingatia kanuni na taratibu zote zinazotumika katika kujifunza na kufundisha. Nimejifunza kozi zote muhimu zinazohusika na Elimu ya Computer ikiwa ni pamoja na; Introduction to Computer and Its Application
Fundamentals of High Level Programming
Fundamentals of Computer Architecture
Introduction to Software Engineering
Introduction to Computer Networks
Database Design Fundamental
Computer Science Teaching Methods
Object Oriented Programming Concepts
Basic Concepts of Operating Systems
Design and Implementation of Information Systems (n.k, kwa sababu sijamaliza masomo bado)
Natanguliza shukrani!
Fundamentals of High Level Programming
Fundamentals of Computer Architecture
Introduction to Software Engineering
Introduction to Computer Networks
Database Design Fundamental
Computer Science Teaching Methods
Object Oriented Programming Concepts
Basic Concepts of Operating Systems
Design and Implementation of Information Systems (n.k, kwa sababu sijamaliza masomo bado)
Natanguliza shukrani!