Natafuta kazi ya kufundisha computer chuoni kama mwl wa kudumu.

gidytitus

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
332
28
Nakusalimu, Mimi ni Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Tumaini, Makumira Arusha, nachukua digrii ya BEd in Computer Science, natarajia kumaliza masomo yangu mwezi July. Naomba kama kuna uhitaji katika chuo chako au unafahamu pahali ambapo kuna uhitaji huo tafadhari naomba tuwasiliane kupitia simu yangu ya mkononi kwa namba 0658 950 264 au kwa njia ya email gidytitus@yahoo.com. Ningali bado kijana, ninao uzoefu wa kufundisha computer kwa kipindi cha miaka miwili kupitia mazoezi yanayoendeshwa na kusimamiwa na wahadhiri wa masomo kutoka chuo husika kwa kufundisha shule za Sekondari pamoja na Vyuoni kwa kuzingatia kanuni na taratibu zote zinazotumika katika kujifunza na kufundisha. Nimejifunza kozi zote muhimu zinazohusika na Elimu ya Computer ikiwa ni pamoja na; Introduction to Computer and Its Application
Fundamentals of High Level Programming
Fundamentals of Computer Architecture
Introduction to Software Engineering
Introduction to Computer Networks
Database Design Fundamental
Computer Science Teaching Methods
Object Oriented Programming Concepts
Basic Concepts of Operating Systems
Design and Implementation of Information Systems (n.k, kwa sababu sijamaliza masomo bado)

Natanguliza shukrani!
 
Nilidhani taaluma utaitanguliza mbele na si imani yako ya kidini lol, subiri rev rwakatale aje akupe kazi na kipindi kikiisha mnaingia kwenye maombi, sic
 
Ndugu yangu,mambo ya dini kwenye kazi huwa hayahusiki. Mara nyingine usipende kutaja mambo ya dini. Mimi kazini kwetu kila mfanyakazi ana dini yake na wala hakuna tatizo. Tafsiri ya kutaja dini hapo yaweza kuelewka hivi kiharaka haraka,kwanza labda hupendi kuajiriwa kwenye taasisi ambayo inamilikiwa na mtu ambaye si mpentekoste. Pili huwezi kufanyakazi na watu ambao si wapentekoste. Ni ushauri tu kwani unaweza kujipunguzia wigo wa ajira kwa kutaja mambo ya dini. Ni ushauri tu usinielewe vibaya.
 
Thax sana kwa kuliona hilo ndg yangu! Mi mwenyewe nimetambua kuwa nimekosea kwa hilo, nashukuru sana kwa kunikosoa kwa hilo! lakini sikufanya hivyo kwa lengo baya! Naombeni tuachane na hilo then mjaribu kuangalia jinsi gani ya kunisaidia, ki ukweli upande wa taaluma yangu, ninao uwezo wa kufanya kazi ya aina yoyote ili mradi iwe inaendeshwa katika mfumo wa komputa lakini wigo wangu wa kufanya kazi waweza kuwa mzuri ikiwa ntaufanyia katika nyanja za kufundisha kwa sababu ndio nmesomea zaidi.
Nashukuru sana!
 
Nakupongeza kwa kuwa muelewa na kukubali kukosolewa! You have my blessings!
 
Nilidhani taaluma utaitanguliza mbele na si imani yako ya kidini lol, subiri rev rwakatale aje akupe kazi na kipindi kikiisha mnaingia kwenye maombi, sic

Thax ndg yangu! tunajifunza kutokana na makosa! Nmekubali kuwa nimeharibu hapo, naomba yaishe bac! wala usinielewe vibaya plz! upande wa taaluma yangu ninao uwezo wa kufanya kazi yoyote ili mradi iwe inaendeshwa katika mfumo wa teknolojia ya computer, Ila nimeomba kuwa mwl kwa sababu ndo uwanja nmesomea namna ya kuweza kufundisha komputa kupitia kanuni, ujuzi na njia mahsusi za kufundishia. Please, narudia tena naomba usinielewe vibaya, nmetaja imani yangu kwa nia njema na sio kwa kuchagua uwanja na mipaka ya kufanyia kazi.
Asante sana!
 
Nakupongeza kwa kuwa muelewa na kukubali kukosolewa! You have my blessings!
Be blessed too! But don't ignore from my request just because of my micro-weakness i displayed b4! please try to search the solution for my problem, but if possible.
Thax for your quick consideration!
 
sasa huo u'pentekoste wa nn? Labda uende kwa mama rwakatare ukawe fundi mitambo kwnye mikutano yake ya injili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom