Natafuta kazi ya kufanya

Natafuta kazi ya kufanya

Trophs

Member
Joined
Nov 15, 2014
Posts
42
Reaction score
6
Habari wana jamvi,mimi niko Dar es salaam natafuta kazi ya kufanya.Ni graduate,ninaweza fanya kazi yoyote ili mradi iniingizie kipato[sichagui kazi].
 
Habari wana jamvi,mimi niko Dar es salaam natafuta kazi ya kufanya.Ni graduate,ninaweza fanya kazi yoyote ili mradi iniingizie kipato[sichagui kazi].

Mimi natafuta mtu wa kuja kukaa shamba ansaidie kufuga kuku, kama uko tayari ni PM tuweke mamba safi...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom