Natafuta kazi ya ku operate mashine za fork lift

Natafuta kazi ya ku operate mashine za fork lift

bahiya

Member
Joined
Aug 8, 2016
Posts
6
Reaction score
1
Jamani habari mm ni kijana mwenye umri wa miaka 29 nimesomea fani ya opareta mashine(fokolifti) kwa mwaka wa 4 sasa naombeni kwa mtu yoyote mwenye ndugu yake baba ake jamaa ambae anaofisi iwe kampun kiwanda au hata godaun naombeni mnisaidie kutafuta kazi nimehangaika sana elim yangu 4 nimesoma bandari college kwayoyote atakaeguswa na hili naomba msada no. 0714825892
 
  • Thanks
Reactions: ovi
nenda kinondoni morocco pale yanapojengwa majengo ya nhc, utapata folk la kuendesha ila kazi ni per diem
 
jamani inabidi ufanye biashara au ujiajiri ndugu yangu maana ajira sikuhizi ni ngumu au cha kufanya ingia shambani kama mm nilivyojikita huko
 
Back
Top Bottom