Natafuta kazi ya IT/Kufundisha

Queen S

New Member
Nov 29, 2015
3
0
hello wana jamvi,
Mimi ni muhitimu wa shahada ya Computer Engineering. Natafuta kazi kwenye field hiyo.
Nna ujuzi na uzoefu katika maeneo ya programming(VB.Net, java), website development, web applications, database design and administration.
Pia naweza kufundisha masomo ya IT na physics na hesabu.
Kujiajiri nimejaribu lakini nimekwama kutokana na kukosa working capital.
Atakaeweza kunipa kazi nitashukuru.
Pia, kama mtu anahitaji kuwa partner kwenye IT Business tunaweza kusaidiana (ninayo business plan, yeye akitoa mtaji mi ntafanya kazi full time).
 
Jaribu kupeleka applications vyuoni, uwe TA!

Peleka kila chuo unachokijua. Moja ya TA, moja ya kazi ya field yako
 
Na pia tungependa kuona michango yako hapa maana moja ya jukumu la mwalimu ni kugawa knowledge
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom