Suzy dotto
Member
- Jun 8, 2023
- 22
- 29
- Thread starter
- #21
Ndiyo pamoja na indemnity, insurable interest vitu kama hivoMambo ya subrogation!
Ndiyo pamoja na indemnity, insurable interest vitu kama hivoMambo ya subrogation!
Nilikua nachomekea mimi pia nina idea na mambo ya insurance, ila sijasomea insurance.Ndiyo pamoja na indemnity, insurable interest vitu kama hivo
Aah sawaNilikua nachomekea mimi pia nina idea na mambo ya insurance, ila sijasomea insurance.
2022Jaribu kuomba kwenye izo company za insurance hata kujitolea ulimaliza lin?
Ukija dar kwenyewe zinapatikanNjoo Dar huko mkoani utatakiwa upush sana kupata kazi.
Ok same na mm omba intern/volunter kwenye insurance agent.2022
SawaJaribu kuingia na kujiandikisha LinkedIn
We njoo tutajua huku huku. Maisha yenyewe haya bila kukaza na kufosi inakuwa ngumu kupata mwanya. Njoo tutaelekezana cha kufanya.Ukija dar kwenyewe zinapatikan