Natafuta kazi ya Insurance and Risk Management

Wakuu habar jamn, hii course imekaaje, insurance and risk management maana Kila nikitafta kazi sipati na kwa mm inanipa wakt mugumu Sanaa maana ni mtu ambaye sina hata connection please naomba msadaa wenu wakuu.
Anzisha kazi yako binafsi ya mshauri (consultant) wa bima kupitia mtandao.

Unafanya ukiwa nyumbani kwako kwa raha zako.
 
Wakuu habar jamn, hii course imekaaje, insurance and risk management maana Kila nikitafta kazi sipati na kwa mm inanipa wakt mugumu Sanaa maana ni mtu ambaye sina hata connection please naomba msadaa wenu wakuu.
Si anzisha agency weka na matigo pesa ....pia jaribu kuchek bank insurance .... IFM kijana wangu ulipoteza muda .....pia jitahid kufanya shughuli zingine insurance ni nguma hata ukiajiriwa malipo mengi ni commission.... ila ukipita company za maaana umeula ....
 
Asante kwa ushauri
 
Back
Top Bottom