Natafuta kazi ya Graphic Designing

Natafuta kazi ya Graphic Designing

Next Elon Musk

Senior Member
Joined
Dec 2, 2019
Posts
115
Reaction score
87
Habari wadau, mimi ni kijana wa kitanznia umri wa miaka 21 naishi Dar es Salaam nina elimu ya stashahada natafuta kazi kama graphic designer nina uzoefu wa miaka miwili nina uzoefu wa designing pia computer skills, marketing, Communication Skills - niko flexible nimebobea kwenye Adobe Illustrator na Photoshop kwenda popote na naahidi kujituma mawasiliano yangu ni email stalyjay@gmail.com.
 
Screenshot_20220422-092015.png
 
Weka baadhi ya kazi zako itasaidia kuvutia waajiri
 
Follow hutojuta
shukran
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom