Natafuta kazi ya blasting operations

madeezo

Member
Apr 20, 2015
5
0
Natafuta kazi ya blasting operations nimesomea na nishafanya kazi JASCO Na Tazara mbeya Kongoro quarry pia nina bc niko Mwanza.
 
Watafute Orica mining service au Nitro explosive.. Pia sogea pale Bagamoyo mbele kidogo ya Msoga kuna migodi mingi ya kupasua kokoto.. Panaitwa Lugoba...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom