natafuta kazi ya aina yoyote

natafuta kazi ya aina yoyote

shy44

Member
Joined
Dec 27, 2013
Posts
13
Reaction score
1
Mi ni msichana miaka 20,,na certificate ya journalism in general natafuta kazi yoyote ili kujikimu kiamaisha npo tayari kufanya kazi popote na katika mazingira yoyote naombeni msaada wenu tafadhali
 
gazeti la mwananchi wanatafuta wafanyakazi peleka maombi binti, kwani unapatikana wapi?
 
Kuna jamaa zangu ni wavuvi,ni-pm nikuunganishe..

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Nenda kwenye media house yoyote hata uvoluntie,so far mwananchi wametoa nafasi nyingi za cadre yako ,peleka huko tafadhali,all ze best mdada!
 
komaa huko huko ulikosomea kwenye journalism unaweza kuchomoka mbaya.
Mwenzio Millard Ayo hata degree hana tayari ana kazi na umarufu laki 8 wembuse wewe mwenye degree?
Wana habari wengi bongo wanaunga unga. We komaa
 
Mi ni msichana miaka 20,,na certificate ya journalism in general natafuta kazi yoyote ili kujikimu kiamaisha npo tayari kufanya kazi popote na katika mazingira yoyote naombeni msaada wenu tafadhali

Tuanzishe kagazeti ka udaku, vigazeti vya udaku vinalipa mbaya. Kaitwe Za leo leo News.
 
Mi ni msichana miaka 20,,na certificate ya journalism in general natafuta kazi yoyote ili kujikimu kiamaisha npo tayari kufanya kazi popote na katika mazingira yoyote naombeni msaada wenu tafadhali
Changamkia mwananchi communication ltd unaweza kuomba hata office attendant mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 4/1/2014
3.Office Attendant (Seven Posts)
Mwananchi Communications Ltd
Area: Dar Es Salaam
Position Description:
Mwananchi Communications Limited, publishers of the leading Tanzania newspapers, Mwananchi, Mwananchi Jumamosi na Jumapili, Mwanaspoti, The Citizen and The Citizen on Saturday and Sunday is looking for motivated and highly experienced individuals to fill the positions of:
Main Responsibilities:-
-Prepares and serves beverages for staff and visitors
-Carries out proper housekeeping and maintains a clean working environment Carriers out routing checks on photocopiers
-Delivers mail internally and externally
Qualifications and Experience:
-Academic 'O'Level
-Professional N/A
Experience
-6 months to I year working experience
--------------------------------
Application Instructions:
NOTE:Applicants Must Be Residents Of Above Areas
Remuneration:
A competitive remuneration will be offered to the right candidate.
Interested and suitably qualified individuals should forward their applications enclosing a detailed CV and copies of professional certificates, and a day time telephone contact by January 4,2014 to;
Human Resources Manager
Mwananchi Communications Ltd
P. O. Box 19754.
Dar es Salaam.
Email:hrm@tz.nationmedia.com
NB: Only short listed candidates will be contacted

Zingine ziko hapa
 
Ni vizuri ndugu yang kutafuta kazi ila ni bora ukawa specific! Nadhan unaposema yotote sina hakika km kila kaz waweza fanya
really?hivi kuna kazi specific kwa graduate asiye na uzoefu?tafuta kazi ya kuanzia yoyote inayohusina na aneo(field)yako,mfano nimesema public administration na marafiki wangu wengi wanafanya kazi amabazo hawakuzisomea mmoja ni marketing manager,mwingine client officer kwenye micro financil instution na maisha yanaenda,hiyo ndio ilikua maana yangu!
 
Hahahaaaaa,si unajua mtaji unahitajika hapo mkuu

Ndio,

Mtaji anao tayari anahitaji vitendea kazi, na vitendea kazi ninavyo mimi, ambavyo ni pesa. Yy ana taaluma na mimi nina pesa za kuafanyia kazi. Unaonaje hapo !!!!!!!!!!
 
Ndio,

Mtaji anao tayari anahitaji vitendea kazi, na vitendea kazi ninavyo mimi, ambavyo ni pesa. Yy ana taaluma na mimi nina pesa za kuafanyia kazi. Unaonaje hapo !!!!!!!!!!
Hapo poa sana hebu mcheki muongee vizuri mnaweza kufanya kitu kikubwa et!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom