pendo Joseph silayo
New Member
- May 9, 2023
- 1
- 0
Natafuta kazi viwandani kama Mwenye kujua viwanda vipi vina toa ajira saivi au Mwenye connection viwandani
Imekuwaje umetupia picha ya hivyo viwalo???Natafuta kazi viwandani kama Mwenye kujua viwanda vipi vina toa ajira saivi au Mwenye connection viwandani anisaidie 0657899340 View attachment 2766063
viwandani hakuna ajira wakuu. viwandani ni vibarua tu. ukiamka asubuhgi pale utaipata hapohapo, nguvu zako tuuzi mzuri huu jamani kama kuna kiwanda kinatowa ajira